Hapo chini ni picha ya baadhi ya wazalendo ambao hutowasoma popote katika historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika (Mbuta Milando, Sheikh Suleiman Takadir na Joel Mgogo):
Mbuta Milando
Kushoto Simon Ngh'waya, Kheri Rashid Baghdelleh na Joel Mgogo
Kushoto Sheikh Suleiman Takadir, John Rupia na Julius Nyerere
Kulia: Clement Mohamed Mtamila, Julius Nyerere na Maria Nyerere na Zuberi Mtemvu katika mikutano ya mwanzo ya TANU Mnazi Mmoja