Decree Holder
JF-Expert Member
- Jul 19, 2015
- 2,559
- 3,745
Sijaelewa. Kwahiyo kile kipindi cha Mgahawa kinaondolewa au hichi kipindi kipya cha Oscar kitakuwa weekend tu ?.View attachment 2633477
Aliyekuwa Mtangazaji wa EFM Oscar Oscar AKA mzee wa Kaliua ametambulishwa rasmi Wasafi FM ambapo sasa atakuwa na kipindi chake kitakachokuwa kinaitwa Jana na leo, kikiruka muda uliokuwa wa kipindi cha Mgahawa yaani siku za wiki kuanzia Saa 11 jioni hadi Saa 2 usiku
Mgahawa kimeondolewaSijaelewa. Kwahiyo kile kipindi cha Mgahawa kinaondolewa au hichi kipindi kipya cha Oscar kitakuwa weekend tu ?.
Duh! kwahiyo wale waliokuwa kwenye kile kipindi kazi imeota nyasi au inakuaje ?.Mgahawa kimeondolewa
Maulid kitenge huo utiifu hana time nao,Hando hakupenda kuondoka EFM ila Majizo kwa kujishtukia kwake ndipo kumemfanya Hando aondoke kwani alishindwa kumtetea, halafu ile issues hata walisokosolewa na Hando (tena jamaa alitumia maneno ya kawaida) hawa kireact bali kujishtukia kwake labda kwa Oscar.Oscar Oscar,Kitenge na Gerald Hando hawa ni wafanyakazi watiifu wa EFM, mda wowote wanaweza kurudi walipotoka. Nashanga kuona kipindi cha Mgahawa kimeondolewa, Yani badala ya kumtoa baba Revo wao wanakifuta kipindi kizima. Ujinga mtupu.
Audience ndio inawataka hao. Huoni walivyoinyanyua EFM.Hapa wasafi wamejichanganya wamejaza watangazaji ushubwada
Kile kipindi cha Mgahawa bila Baba Levo kilikuwa kimepooza sanaKipindi cha mgahawa ndio kipindi kizur sanq kwa Wasafi.
Baba Levo kajitahidi sana kuweka ucheshi, yule jamaa elimu hana ila anajua kuongea ukweli hasa ktk mada zilizonyooka.
Kuondoa kile kipindi kitashushq brand sana unless huyu mpya awekeze nguvu ktk ubunifu zaidi.
I think wamebadir jina ili kuvuta attention.Kile kipindi cha Mgahawa bila Baba Levo kilikuwa kimepooza sana
Huyu jamaa wangemuongeza palepale kwenye Mgahawa awe na Baba Levo, Sekioni David na yule Adela Tillya
Ngoja tuone labda kimebadilishwa jina tu