Oscar Oscar:Baba ameshakula mahari,watoto mkubali kuolewa!

Acha amwage hela.
Zi zinawasha.
Ila ubingwa NI wa simba
Mpira pesa Ndugu yangu.Dirisha Dogo anamleta Chama Yanga na kwa mechi ya Jmosi amewahaidi wachezaji wa Yanga kama watashinda watakula mpunga mrefu haijawahi kutokea Tanzania. Goli moja kwa bila mil 500,Goli 2 kwa bila Bil 1,Goli 3 kwa bila Bil 1.5 yani kila Goli mil 500. Kazi ipo yani Nyama pori ataliwa na kutafunwatafunwa mpaka Mifupa.Nawaonea huruma sana kwani historia inakwenda kuwekwa Jmosi.
 
Labda chama cha mapinduzi. Manara hakukosea, wenye akili utopolo ni JK na Baba yake.
 
Labda chama Cha MAPINDUZI
 
yaani na wewe umekuwa zumbekuku kuamini Chama anakuja yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…