Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 28, 2024 #1 Ndugu Wana Simba ....kama mtakubali kuwa goli la azizi ki dhidi ya mamelodi ni goli la halali .........basi tuta ahirisha kumsajili Chama coz bado kumtangaza tu. Otherwise mtajuta[emoji23][emoji23][emoji91]
Ndugu Wana Simba ....kama mtakubali kuwa goli la azizi ki dhidi ya mamelodi ni goli la halali .........basi tuta ahirisha kumsajili Chama coz bado kumtangaza tu. Otherwise mtajuta[emoji23][emoji23][emoji91]
mpiga vichwa JF-Expert Member Joined Oct 21, 2021 Posts 2,376 Reaction score 3,811 Jun 28, 2024 #2 Wewe na huyo oscar ni kama pipa na mfuniko wake. Hivyo hatuna cha kujadili kwenye huu uzi wako zaidi ya kusema , pole mfuniko .
Wewe na huyo oscar ni kama pipa na mfuniko wake. Hivyo hatuna cha kujadili kwenye huu uzi wako zaidi ya kusema , pole mfuniko .
Pettymagambo JF-Expert Member Joined Aug 21, 2017 Posts 1,490 Reaction score 8,227 Jun 28, 2024 #3 Hawa sasa ndo wazee wa siku zijazo, kuanzia huyo oscar na mleta uzi! Hiii bhagoshaa!
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 28, 2024 Thread starter #4 mpiga vichwa said: Wewe na huyo oscar ni kama pipa na mfuniko wake. Hivyo hatuna cha kujadili kwenye huu uzi wako zaidi ya kusema , pole mfuniko . Click to expand... ,[emoji23][emoji23][emoji23]
mpiga vichwa said: Wewe na huyo oscar ni kama pipa na mfuniko wake. Hivyo hatuna cha kujadili kwenye huu uzi wako zaidi ya kusema , pole mfuniko . Click to expand... ,[emoji23][emoji23][emoji23]
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 28, 2024 Thread starter #5 Pettymagambo said: Hawa sasa ndo wazee wa siku zijazo, kuanzia huyo oscar na mleta uzi! Hiii bhagoshaa! Click to expand... Hahaaa
Pettymagambo said: Hawa sasa ndo wazee wa siku zijazo, kuanzia huyo oscar na mleta uzi! Hiii bhagoshaa! Click to expand... Hahaaa
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 28, 2024 #6 Sio goli
Simeone JF-Expert Member Joined Jul 4, 2018 Posts 905 Reaction score 1,002 Jun 28, 2024 #7 Hahahaaa Tanzania kutamu sana.
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 28, 2024 Thread starter #8 Watu8 said: Sio goli Click to expand... Basi Chama hamumpati
Labani og JF-Expert Member Joined Sep 15, 2020 Posts 19,637 Reaction score 29,473 Jun 28, 2024 Thread starter #9 Simeone said: Hahahaaa Tanzania kutamu sana. Click to expand... Kivp Mkuu
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jun 28, 2024 #10 Labani og said: Basi Chama hamumpati Click to expand... Sawa...