Naunga mkono hojaYanga ni one way to final
TANGU MWANZO WA HAYA MASHINDANO NILISEMA, SIMBA OUT, MAZEMBE OUT, PETRO LUANDA OUT, NA ENYIMBA OUT WATU MKABISHA VIPI BADO TIMU GANI HADI SASA?[emoji848]
"Mechi nne za kimataifa hujashinda hats Moja, mechi 6 za makundi Simba watamaliza Kwa point 6 ( Kwa kudraw zote .......then unajiita timu kubwa Africa unaumwa ww"View attachment 2794436
Miaka 10 ijayo watakwambia walikuwa timu ya kwanza kufika robo kama walivyokomaa na Abiola cupMlliteliwa kama viti maalumu
Kwa hili hajaandika kufurahisha mtu, kaandika fact mkuu.H
Huyu nae kama malaya,hajulikani msimamo wake uko wapi Ili mradi Leo afurahishe huyu,kesho yule
Na nyinyi mlikosaje hiyo nafasi ya vitu maalumu.Mlliteliwa kama viti maalumu
Fact tunayoielewani ile ya Eymael aliyesema hamjui kitu na akaenda FIFA wakaamuri yanga wamlipe.Kwa hili hajaandika kufurahisha mtu, kaandika fact mkuu.
[emoji23][emoji23]Simba vs Al Ahly 3-3 Aggregate
Wydad vs Enyimba 4-0 Aggregate
Mamelodi vs Petro 2-0 Aggregate
Esperance vs Mazembe 3-1 Aggregate
Kwa takwimu za michezo hii Simba hapa Africa iko level ya akina Al Ahly, Wydad, Mamelodi & Esperance.
Msimamo wake ni kusema ukweli..!! Iwe unakuuma au unakufurahishaH
Huyu nae kama malaya,hajulikani msimamo wake uko wapi Ili mradi Leo afurahishe huyu,kesho yule
Yunajua inauma ila itabidi mzoee tu.Alama 6 zitoke wapi?
Hao ni 3 tu.
Watadraw mechi za kwa Mkapa.