Oscar Oscar: Singida Black Stars watakuwa mabingwa NBC Premier League

Baada ya Singida Black Stars kuwa na mwanzo mzuri katika NBC PL, mpiga porojo kutokea Wasafi Media, Oscar Oscar ameipa nafasi timu hiyo kutwaa ubingwa wa NBC PL mbele ya Yanga, Simba na Azam.View attachment 3100578
Kuna zile timu za mungu nisaidie azitopata point ata Moja mbele singida, maana singida akuna wachezaji wake waliozuiwa kucheza na tff kama fountain gate na Tabora united🤣🤣🤣🤣
 
Mpiga porojo. Kila kitu anajifanya anajua. Kuanzia stori za mapenzi, uchumi, siasa mpaka NASA.
Alisema yanga kucheza fainali CAFCC si mafanikio, maana mafanikio ni kuchukua kombe, pili kombe la CC halina hadhi sawa na CL sasa tuone hiyo timu yake pendwa anayoishabikia makolo itachukua huo ubingwa wa CC ili iwe mafanikio?
 
Huyu jamaa mjinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…