Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Anachezea namba ngapi kwenye hiyo timu ya Tabora?!Mtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
Anaota tu huyo mropokajiMtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
Huyo ni miongoni mwa watu ambao kauli zao huwa nazipuuza.Anawajaza ili baadae awakatae....
Hata hivyo anatetea kwao Kaliua anataka ubunge....
Hahahaha awasidie si kwao huko TaboraAnawajaza ili baadae awakatae....
Hata hivyo anatetea kwao Kaliua anataka ubunge....
Ee kwao ndo kunaitwa kaliuaHahahaha awasidie si kwao huko Tabora
Kaliua ni sehemu ya TaboraEe kwao ndo kunaitwa kaliua
RC anaahidi 50m against simbaMtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
chachacha fc itabamizwa mpaka watasahau kama waliahidiwa ml50, hivi mbona vyura hawasikiki kama wanagemu kesho na sukari ya kageraMtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
Kinachoudhi ni huwa viongozi wa mikoa kupanga mipango against only one teamchachacha fc itabamizwa mpaka watasahau kama waliahidiwa ml50, hivi mbona vyura hawasikiki kama wanagemu kesho na sukari ya kagera
Hiyo timu ni ya pedeshee Ndama mutoto wa Ng'ombeRC anaahidi 50m against simba
Anazitoa wapi?
Goli la bàba hilo.RC anaahidi 50m against simba
Anazitoa wapi?
Kwa chacha hiyo 50m ni pesa ya mboga tu, jamaa mwaka jana kalima ekari 5000 za tumbaku. Weka mbali zile za kula kwa urefu wa kamba yake.RC anaahidi 50m against simba
Anazitoa wapi?
Ni Mtu Wa Hovyo Sana SanaHuyo ni miongoni mwa watu ambao kauli zao huwa nazipuuza.