Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Hiyo mechi ni lini kwani?Ngoja wavimbishwe kichwa,TABORA UNITED watapasuka vibaya
RC anatoa wapi pesa ya kuwa na heka 5,000?Kwa chacha hiyo 50m ni pesa ya mboga tu, jamaa mwaka jana kalima ekari 5000 za tumbaku. Weka mbali zile za kula kwa urefu wa kamba yake.
Fanya masihara nini?
Unaanzia kanisani, Kisha Kwa Mtendaji halafu NIDAWakuu naomba msaada. Nataka kubadilisha jina langu hapa jf, naanzaje?
Labda Alama za vidole,Ila Point tatu kwa kuifunga Simba sioni?Mtangazaji Oscar Oscar wa kipindi cha Jana na Leo, jioni hii akiwa katika kipindi hiko amesema Tabora Utd itabeba alama zote 3 dhidi ya Simba pale katika dimba la Ali Hassan Mwinyi.
Soma Pia RC Chacha aahidi milioni 50 kwa Tabora United ikiilaza Simba SC
Yapi maoni yako?
Nadhani itakuwa jumapili kama sijakoseaHiyo mechi ni lini kwani?
Washapasuka tayariNgoja wavimbishwe kichwa,TABORA UNITED watapasuka vibaya
Hao tabora ni nyuki wa mashineni tuWashapasuka tayari