Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wakuu
Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana.
Soma: Lissu amjibu Wasira. Asema Uchaguzi Mkuu usogezwe mbele kupata Katiba Mpya, vinginevyo watazuia uchaguzi kwa maandamano
Kwa, Mtangazaji wa Wasafi FM, Oscar Oscar anaamini muda wa Bunge uliobaki kabla Bunge kuvunjwa mwezi Juni unatosha kabisa kupata Sheria mpya za Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Soma, Pia
- Wasira: Hoja ya Chadema kutaka Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu Oktoba 2025 imechelewa
- Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo
- Wasira awatetemesha akina Tundu Lissu na Wenzake: "Kauli Mbiu ya "No Reform, No Election" Haina Maana Kwa Sasa"