Wimbo wanaoimba CHADEMA hivi sasa ni "No Reform, No Election", wakishinikiza mabadiliko ya Katiba pamoja na Sheria za Uchaguzi kabla ya Oktoba 2025, hoja ambayo CCM wanaipiga dana dana.
Kwa, Mtangazaji wa Wasafi FM, Oscar Oscar anaamini muda wa Bunge uliobaki kabla Bunge kuvunjwa mwezi Juni unatosha kabisa kupata Sheria mpya za Uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2025.
Bado Tatizo liko pale pale na litakua pale pale Kwa sababu Sheria hizo zitafungwa na Rais huyu huyu wa chama hiki hiki na zitajadiliwa na wabunge Hawa Hawa an ao asilimia mia Moja ni wa chama hiki hiki chini ya speaker ambaye ambaye ni mjumbe wa cc ya chama hiki hiki na zitapitishwa na Bunge hili hili!
Mbaya zaidi anatakeyesiani muswada huo kuwa Sheria ni Rais huyu huyu ambaye ni Mwenyekiti wa Chama hiki hiki! Atakayekuja kusimamia utekelezaji wa Sheria hiyo ni executive hiyo hiyo!
Kuna haja ya kuwaza nbinu nyingine ambayo itailazimisha Ccm kufikia concesus and compromise! These are to be forced hawana ustaarabu wa kukubaliana bila bila ba uhuni wa ndani ambao Kwa nje haionekani!
Walikaa vikao vya chama Mchakato wa katiba wakauharibu na Kila unachokisema kipo katika rasimu ya warioba!
Kama wamebadili tu Jina la tume kuongeza neno Huru na wakapiga makofi wakati muundo ni ule ule huoni ni wahuni? Wanafaa kulazimshwa namaanisha kulazimishwa