Oscar winning actor Jamie Fox gives shout out to Kenyans in Swahili

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Wakenya tunaendelea kukuza na kueneza Kiswahili kote kote

 
Dude has been dating a Kenyan that worked for Abu dhabi airways chini ya maji around 2012, dont know how that went
 
Huyo mdada ni wa kwenu Kenya.. suo mbaya akikumbuka kwao.
 
Mademu wa kenya wanatembeza kipapa balaa...

Hivi huko kenya hakuna wanaume??
 
Reactions: Oii

Big Ralph too learning Swahili courtesy of the 254!
 
Mkenya lazima awe mstari wa mbele kueneza kiswahili sababu wao sawa la kutafuta maisha mbele sio ajabu sisi passport kupata lazima uwe na safar nje ya africa au baadhi ya nchi africa bei juu kama mradi kwa taasisi bado ujakutana na ndugu analia eti usije ulaya maisha magumu lakin ye anajenga magorofa alafu tunaona kiswahili kama chetu acha wakenya wasonge kwa mataifa ya watu roho mbaya zetu
 
Preach bro, preach! 😎
 
Ahaaa nyie mnambwela sana,mnakwama wapi?
Wakenya wanaume ndio hatari kushinda wanadada wetu. Tuna Mbunge aliyeaga juzi na alioa mzungu. Baba ya Obama Mkenya kamili alioa mzungu ndio akazaa Barak Obama. Ni wengi tu siwezi taja wote humu. Mimi mwenyewe japo nimerudi nyumbani juzi nimekula wazungu sana
 
Pole mkuu Kwa mnayoyapitia.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Asanteni sana kwa kutukuzia lugha yetu adhimu ya kiswahili,tunajivunia sana kuwa ni Taifa Teule la Asili kabisa ya Lugha ya Kiswahili Duniani.

Viva Viva TANZANIAAAAAAAAAAA
Viva AFRICAAAAAAAA
 
Asanteni sana kwa kutukuzia lugha yetu adhimu ya kiswahili,tunajivunia sana kuwa ni Taifa Teule la Asili kabisa ya Lugha ya Kiswahili Duniani.
Viva Viva TANZANIAAAAAAAAAAA
Viva AFRICAAAAAAAA
Kwa kuwa mlidanganywa kwamba lugha ni yenu.. Kweli nyie waDANGANYIKA
 
Asanteni sana kwa kutukuzia lugha yetu adhimu ya kiswahili,tunajivunia sana kuwa ni Taifa Teule la Asili kabisa ya Lugha ya Kiswahili Duniani.
Viva Viva TANZANIAAAAAAAAAAA
Viva AFRICAAAAAAAA
Not to worry, we'll tell them your story our way.Continue sleeping. Mlambeez.. myonyeez ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…