white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Mamlaka ya usalama na afya katika mazingira ya kazi(OSHA), moja ya majukumu yake ni kutoa mafunzo mbalimbali kwa wafanyakazi mahala pa kazi.
Tatizo ninalo liona ni pale mtu /taasisi inapohitaji mafunzo kwa wafanyakazi wake, unaambiwa jisajiri na kulipia gharama za mafunzo tena sio ndogo kuna baadhi zinafika hadi 700, 000 kwa mtu mmoja!! Tatizo linaanzia hapo mnaambiwa subilieni hadi idadi ya wanafunzi ifikie labda 20, 30, ndio mtapangiwa darasa!!! Sasa labda kampuni ina wafanyakazi 5 itabidi isubirie kwa muda usiojulikana ili hao 15, 25 wapatikane!!!
Kwanini wasiwe na ratiba tu zinazojulikana kwamba, labda kila mwezi, au baada ya miezi fulani!!? Wanatoa mafunzo.