Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
😀😀😀 Da hawa jamaa wakishashiba ubwabwa tu wanatoa tamko hovyo kabisa"Mnatoa matamko kwa viongozi wa juu kwa mamlaka gani mfano kipindi cha Yesu wangetoa matamko kwamba Yesu asisulubiwe je mngesamehewa dhambi zenu" - Ustadh Mazinge
View attachment 3324763
Soma Pre GE2025 - DSM - Wakili Kibatala: Tundu Lissu kugomea kula chakula Gerezani mpaka haki ipatikane
HahahahaTukisema kobaz hawana akili tunaonekana Wabaguzi.
Hakika HARANU ni mbaya sana ndio maana hakufanya hivyoMtume asingeoa bi Hadija kuoa mashangazi ingekuwa haranu