Ostaz Juma Namusoma akiwa ndani ya vazi aliloliita la 'Bungeni'

Ostaz Juma Namusoma akiwa ndani ya vazi aliloliita la 'Bungeni'

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
HII KALI! Mdau na promota wa muziki wa bongo fleva aliyejichimbia kwa muda mrefu, ameibuka na kali nyingine, safari hii ni kwenye uwanja wa siasa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram, Ostaz ametupiamo picha hiyo hapo juu akisindikiza na maneno 'muonekano wa bungeni' na hivyo kuzidisha ule uvumi ulioenea siku za hivi karibuni kuwa naye anataka kugombea ubunge.

Mtandao huu ulimtafuta Ostaz na kutaka kujua undani wa tetesi hizo, lakini haukufanikiwa kumpata kwa madai kuwa yuko nje ya nchi. Mpambe wake Ostaz mwenye maskani yake mjini Musoma ameuambia mtandao huu kuwa Ostaz ana mpango wa kutangaza nia ya kugombea ubunge kiti cha Musoma…
 
Akatangaze nia kwa mke wake na familia yake kwani serikali ikatavyo kuja syo ya ukanjanja na utapeli. .....pmbv zk
 
Back
Top Bottom