Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
HII KALI! Mdau na promota wa muziki wa bongo fleva aliyejichimbia kwa muda mrefu, ameibuka na kali nyingine, safari hii ni kwenye uwanja wa siasa. Kupitia ukurasa wake wa Facebook na Instagram, Ostaz ametupiamo picha hiyo hapo juu akisindikiza na maneno 'muonekano wa bungeni' na hivyo kuzidisha ule uvumi ulioenea siku za hivi karibuni kuwa naye anataka kugombea ubunge.
Mtandao huu ulimtafuta Ostaz na kutaka kujua undani wa tetesi hizo, lakini haukufanikiwa kumpata kwa madai kuwa yuko nje ya nchi. Mpambe wake Ostaz mwenye maskani yake mjini Musoma ameuambia mtandao huu kuwa Ostaz ana mpango wa kutangaza nia ya kugombea ubunge kiti cha Musoma…