Otea naishi wapi mahali gani hapa duniani

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Hebu mwana jf otea hapa duniani Mimi naishi wapi sehemu gani ?

Ila mambo ya kutekana tekana sitaki !!
 
Nafurahi mnavyo miss target mnavyo dislocate ha ha ha
 
Mbona hajibu kama kuna mtu kapatia au laa
Kona niliyopo duniani hata nikiwatukana mossad CIA fsb FBI shayetet 13 sayaret matkal kidon nk hawawezi nishika abadan
 
Kona niliyopo duniani hata nikiwatukana mossad CIA fsb FBI shayetet 13 sayaret matkal kidon nk hawawezi nishika abadan
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] osama na ujanja wote ule walimkamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…