Otea nini kilitokea

Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah ah ah ah a ha ha ah ah a ha ha ha ha
yani nilikuwa nasoma hii nikiwa juu ya baskeli mbona nimeanguka kwa kuchekaaaaaa
Pole sana Mkuu
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ah ah ah ah ah a ha ha ah ah a ha ha ha ha
yani nilikuwa nasoma hii nikiwa juu ya baskeli mbona nimeanguka kwa kuchekaaaaaa
Ayaaaa.... Pole sana,
Haujaumia saana?
 
Hi lazma nikaijaribu kwa ladies wa bongo movies na video queen kadhaa, kwa mara ya kwanza nimeiona fursa.
Hahahah... Kuna watu mko vizuri,
lakini try at your own risk
 
Hii nzuri unaongea na mwenye yard ili aseme au akupe wiki nzima ya kwenda kucheki account mbele ya demu.
Khaaa... Naviona vilio vingi saaana vya mademu wa mjini.....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo mdada lazima ataanza kudate wanafunzi maana kukatana na Kazee Ka Mjini
Hao ndo wale wazee Wa Mission town... Hataree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…