Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama.
Akizunguza jana Desemba 27, 2024, akiwa Kahama, amesema:
"Mtanzania akienda Mahakamani hana hakika kama atapata haki yake. Hata akilala hajui kama ataamka salama. Tunahitaji mageuzi. Tunahitaji kumwondosha anayetuendesha kwa miaka zaidi ya 60"
Soma, Pia: ACT yamteua Othman kuongoza timu mageuzi ya Kisiasa Zanzibar