Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama.
Your browser is not able to display this video.
Akizunguza jana Desemba 27, 2024, akiwa Kahama, amesema:
"Mtanzania akienda Mahakamani hana hakika kama atapata haki yake. Hata akilala hajui kama ataamka salama. Tunahitaji mageuzi. Tunahitaji kumwondosha anayetuendesha kwa miaka zaidi ya 60"
Othman Masoud Othman, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, ametoa kauli yenye mashiko kuhusu hali ya kiusalama na haki nchini, akisema kuwa Mtanzania akienda mahakamani hana hakika ya kupata haki yake, na hata akilala, hawezi kujua kama ataamka salama.
"Mtanzania akienda Mahakamani hana hakika kama atapata haki yake. Hata akilala hajui kama ataamka salama. Tunahitaji mageuzi. Tunahitaji kumwondosha anayetuendesha kwa miaka zaidi ya 60" View attachment 3186926
Ngoja ccm waichezee Chadema halafu ACT wamchukue Lissu.
Huku Bara awe TAL and kule Zenj OMO- watauwasha Moto sana. Na hiyo serikali tatu ambayo ccm hawaitaki, wataipata tu watake wasitake. Serikali tatu ndilo jambo linalo wafanya ccm wamuogope Lissu kwamba Muungano utavunjika na wasicho kijua ni kwamba, hilo wazo la serikali tatu lilitolewa na Warioba mtu wao, sasa sijui ni kwa nini wasiongee na Warioba alete jibu tofauti na kile alicho pendekeza kwenye katiba yake.