Kukurahisishia wewe jua "Tanganyika" kuna waswahili wengi zaidi ya sehemu yoyote na Dar siyo Tanzania bara.Sijui, labda unieleze.
Ww unaongelea bongo ipi? Mziki wa Darasa imechezwa club za Nairobi mpaka ikawa kama club anthem! iokote nimeona video za wakenya kibao waki icheza, achilia mbali juzi Harambee stars nimeona wanapiga dance na wimbo wa Dai! Au ww playlist yako ina nyimbo za Ben pol tuTatizo la bongo ni huo utulivu. Huwezi cheza bongo kwenye klabu kwa sababu ina mwendo wa pole pole sana, watu hawawezi dansi.
Nilikua nafurahisha genge.. ila dada yako mlete tu, halafu hautojuta..[emoji41]Kwani unaogopa porno wewe ni virgin nikuletee dadangu? Youtube haina porno, wewe search tu "kiuno mombasa" itakuja
The first Tanzanian to admit that Kenyans support their music. Wengine humu ni ubishi tu. Kangaroo by hormones is going to hit 30M views very soon and I know for a fact that majority of the viewers are KenyansKenya mnapenda bongo fleva kwa sababu nyingi ila moja wapo nikuelewa Kiswahili. Kiswahili kinazungumzwa na watu zaidi ya milioni 200 kwenye nchi zaidi ya 8 Africa. Hao wote ni potential customers wa bongo flava. Kuna wale ambao wana elewa midundo tu. Tumeona wasanii wabongo wakipiga show Israel, Madagascar, Gabon,CAR, Abu dhabi e.t.c na huko mashabiki walikua wana sing along na artists. Wanaija wenyewe wana admit kwamba Bongo fleva ndiyo inawapa ushindani, wewe nani ubishe. Ila ukweli ni kwamba Kenya imetoa support kubwa sana kwa bongo fleva, uzuri hili ata wasanii wana lijua ndiyo maana hawa sit kuja Kenya kupiga media tours na kufanya collabo.
Akothee ni the best toka Kenya kuzidi hata huyo jamaa
Sasa hapo ndiyo mnapokosea.. nyinyi mnahisi mnamchango mkubwa kuliko fans wa Tz. Hao jamaa wana washibiki bongo ambao ata wa kiimba abcd....z watafurahia ngoma. Sasa hapo kwenye views umepata wapi huo ujasiri kutoa kauli hiyo. Kwa kauli kama hizo ata mimi naeza nikabidili maneno naku trash mchango wenu. Bora ungesema unahisi kuliko ku conclude kama hivyo tena unasema "i kno for a fact" !!!The first Tanzanian to admit that Kenyans support their music. Wengine humu ni ubishi tu. Kangaroo by hormones is going to hit 30M views very soon and I know for a fact that majority of the viewers are Kenyans
Fans= Funs [emoji23]Sasa hapo ndiyo mnapokosea.. nyinyi mnahisi mnamchango mkubwa kuliko fans wa Tz. Hao jamaa wana washibiki bongo ambao ata wa kiimba abcd....z watafurahia ngoma. Sasa hapo kwenye views umepata wapi huo ujasiri kutoa kauli hiyo. Kwa kauli kama hizo ata mimi naeza nikabidili maneno naku trash mchango wenu. Bora ungesema unahisi kuliko ku conclude kama hivyo tena unasema "i kno for a fact" !!!
Huo ni ukweli. Wakenya wanatazama nyimbo zenu kuliko zaoSasa hapo ndiyo mnapokosea.. nyinyi mnahisi mnamchango mkubwa kuliko fans wa Tz. Hao jamaa wana washibiki bongo ambao ata wa kiimba abcd....z watafurahia ngoma. Sasa hapo kwenye views umepata wapi huo ujasiri kutoa kauli hiyo. Kwa kauli kama hizo ata mimi naeza nikabidili maneno naku trash mchango wenu. Bora ungesema unahisi kuliko ku conclude kama hivyo tena unasema "i kno for a fact" !!!
😂😂😂😂akothee anasikika tz kweli?Akothee ni the best toka Kenya kuzidi hata huyo jamaa
Kama ingewezekana mchukueni Ali Kiba na Diamond mtupe Akothee
Okay.. hapo unaongelea observation yako huko ulipo. Sasa umejuaje kwamba wa Tz hawa angalii ngoma zao au Kenya ina watu wengi kuliko Tz. Hii hali ya kujiona nyinyi ni wababe ina wa cost sanaHuo ni ukweli. Wakenya wanatazama nyimbo zenu kuliko zao
Akothee ni famous huku na ngoma zake tunasikiliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akothee anasikika tz kweli?
ni kweli mkuu bongo fleva asilimia kubwa mziki wetu huwa ni slow ila pia kuna wasanii huimba sana nyimbo za klabu kama navyekenzo nadhani ni kutokana na soko ila kwa vipindi hivi vya karibuni wasanii weng wanaimb nyimbo za dansi,msanii kama Mauwa Sama aliyoimba nyimbo ya iokote uimbaji wake ni tofauti na zaman embu labda jaribu kumfatilia nadhani utamwelewaTatizo la bongo ni huo utulivu. Huwezi cheza bongo kwenye klabu kwa sababu ina mwendo wa pole pole sana, watu hawawezi dansi.
we nawe unakurupuka sana,ebu rudia post uninyeshe wapi nimeandika kuwa american english ni original english????..kitu nilichokuwa ninamaanisha ni kwamba american english is more tasteful than british one!Usijidanganye kuwa American english ni original english, hao wameharibu lugha ya kiingereza sana. British english ndio kiingereza pekee inayopewa heshima dunia nzima.
Okay.. hapo unaongelea observation yako huko ulipo. Sasa umejuaje kwamba wa Tz hawa angalii ngoma zao au Kenya ina watu wengi kuliko Tz. Hii hali ya kujiona nyinyi ni wababe ina wa cost sana
Okay.. hapo unaongelea observation yako huko ulipo. Sasa umejuaje kwamba wa Tz hawa angalii ngoma zao au Kenya ina watu wengi kuliko Tz. Hii hali ya kujiona nyinyi ni wababe ina wa cost sana
Kuna baadhi ya watu ambao wanamchukia.Mimi sins hiyo tabia ya kuchukia watu bila sababuAkothee ni famous huku na ngoma zake tunasikiliza
Ila nyie mnamchukia sana
That maua sama. Her song is trending though I haven't watched itni kweli mkuu bongo fleva asilimia kubwa mziki wetu huwa ni slow ila pia kuna wasanii huimba sana nyimbo za klabu kama navyekenzo nadhani ni kutokana na soko ila kwa vipindi hivi vya karibuni wasanii weng wanaimb nyimbo za dansi,msanii kama Mauwa Sama aliyoimba nyimbo ya iokote uimbaji wake ni tofauti na zaman embu labda jaribu kumfatilia nadhani utamwelewa
Connected na nini?Watz wanawatch nyimbo zao za bongo pekee kisa uzalendo. Ni ukweli tz ina watu wengi lakini wale wako connected ni wangapi? Hilo ndilo swalimojawapo la kujiuliza