Kwani ni lugha gani ile mkuu?Siyo rasmi kwa sababu nimeitafsiri kutoka lugha asili kupitia kiingereza, kisha Kiswahili.
Rasmi ni kama wangeitoa wao wenyewe mkuu!
....mateka mikono juu-hostages! Hands ups....
Hahaahaa, ungechezeka tu kama ule ukipanda matembeleee, utakula matembelee.. Anatelezaa, anatelezaaa!Hehe una maneno mazuri sema ungeimbwa kwa kiswahili usinge chezeka