OTOPLASTY

OTOPLASTY

AQueen

Member
Joined
Nov 15, 2017
Posts
12
Reaction score
3
Hi People.. nahitahi tu kujua eti hapa Bongo ear surgery huwa inafanyika ili kuweka sawa visikio vilivyojitokeza sana..
Nina ndugu yangu anapata shida sana mpaka naona aanakuwa affected psychologically sababu ya kuchekwa na watu kama kumshangaa hivi...

Nchi za wenzetu wanafanya ... sasa Bongo kwetu hapa sijui vipi..
 
Mwambie bongo hamna surgery za namna hiyo.

Abaki tu na masikio yake kama dish...kwann watu hampendi kujikubali mlivyo jamani?

Sasa namm mwenye bichwa kama pasi ya mkaa nifanye surgery?
 
Mshauri akubaliane na jinsi alivyoumbika.

Kikubwa ni pumzi tu mengine ni mbwembwe zetu.
 
Wow huyu muigizaji wa kihindi katika three idiots na recent movie yake inaitwa Dangal ana masikio makubwa ila hana habari.

Kama sehemu anayoishi wana mtindo wa kufuatiliana maumbile ahamie Dar, Mwananyamala, Makumbusho, hakuna hizo.
 
Mwambie bongo hamna surgery za namna hiyo.

Abaki tu na masikio yake kama dish...kwann watu hampendi kujikubali mlivyo jamani?

Sasa namm mwenye bichwa kama pasi ya mkaa nifanye surgery?
swala hapa sio kujikubali au kujikataa... swala ni kuwa comfortable...

Mbona majipu yanatumbuliwa..
Mabusha yanafanyiwa operation..
Vinyama vya mwili vinaondolewa. Na wanaozaliwa na viungo vimezidi au kukaa vibaya wanarekebishwa...

Au kujikubali kwako ni kwa kiwango kipi labda?
 
Mshauri akubaliane na jinsi alivyoumbika.

Kikubwa ni pumzi tu mengine ni mbwembwe zetu.
Sio kwamba hatujaona haja ya kumshauri... inamsumbua mpaka tunaona anakua affected..ndo maana tunatafuta altenative..
 
Back
Top Bottom