vaa kofiaMwambie bongo hamna surgery za namna hiyo.
Abaki tu na masikio yake kama dish...kwann watu hampendi kujikubali mlivyo jamani?
Sasa namm mwenye bichwa kama pasi ya mkaa nifanye surgery?
swala hapa sio kujikubali au kujikataa... swala ni kuwa comfortable...Mwambie bongo hamna surgery za namna hiyo.