Oummilkheir Hamidou astaafu rasmi DW, UHURU FM waanza kufanya nae mazungumzo

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Mwanamama Oummilkheir Hamidou baada ya kufanya utumishi kwa miaka 42 hatimaye leo anastaafu rasmi Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn.

Tofauti na unavyofikiria sio kwamba anaenda kijijini kulima la hasha bali radio Uhuru tayari wamenza kufanya nae mazungumzo kuhakikisha anabaki hapa hapa mjini na kuongeza nguvu katika timu yao ya watangazaji.

Itakumbukwa kuwa radio hii ya CCM inakuwa moja ya radio chache kuajiiri wageni na hiyo ndio maana ya kuwa wakimataifa.
 
Kwa hiyo atapewa na uraia wa kuishi hapa nchini
 
Back
Top Bottom