Our 5th Anniversary

FD hongera sana ndugu yangu miaka mitano ni experience nzuri sana ya kushare na watu.nami natamani kufuata nyayo zako,tatizo ni kumpata huyoooooo perfect man for me

thanks. Omba kwa MUNGU First Lady utampata mme mwema
 
Congratulations. Miaka 5 si haba kuna wengine miezi 6 tu nanga inapaa. Keep it up!!
 
Congratulations! Miaka 5 si haba kuna wengine miezi 6 tu nanga inapaa. Keep it up!!!
 
Hongera sana Funzadume. Mungu awajalie maisha yenye Upendo katika ndoa yenu. Salamu pia kwa wife
 
And we both know, that our love will grow
And forever it will be you and me, hey

In today's material World this looks delusional....................
 
Hongera sana, mwekeni Mungu mbele ktk kila jambo mta dunu
 
thanks all i have plan to go somewhere for dinner with my good family
 
1. hongera mkuu.
2.Bora ya wewe, wengine wengi ikifika siku kama hiyo HUTOA MACHOZI WAKIJUTA KWA NINI WALIIINGIA KWENYE NDOA NA HUYO MTU WALIE NAE
3,SHIKA SANA ULICHO NACHO MKUU
 
thanks. Omba kwa MUNGU First Lady utampata mme mwema
Heeeeeh hii ni mpya kabisa, muda woote huu huwa nadhani First lady ni mke wa mtu kumbe........HATA SIAMINI. Atakuwa kaolewa huyu dada/mama huwa SIKOSEI hisia zangu she must be joking.
 
......Hongera FD,Mungu awaajalie maisha ya amani,upendo na furaha wewe pamoja na mkeo siku zote za maisha yenu.
 


Oooh my goodness! This song is lovely!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…