Our esteemed neighbors, this is what we call a railway project

Inapendeza sana lkn acheni kueneza chuki na Uongo kwamba TZ yetu inafukuza wageni, acheni hizo waambieni watu wenu ukweli na siyo kupotosha,TZ haifukuzi Wageni!
asante ndugu...tumeskia
 
Hivi kwanini mnapenda sana kutumia nguvu kujilinganisha na sisi? Mbona sisi hatunaga time na nyinyi kabisa?

Yaani tuache kudeal na Vyeti Hewa tuje kujadili barabara ya gari moshi jamani, kweli?
 
Hivi kwanini mnapenda sana kutumia nguvu kujilinganisha na sisi? Mbona sisi hatunaga time na nyinyi kabisa?

Yaani tuache kudeal na Vyeti Hewa tuje kujadili barabara ya gari moshi jamani, kweli?
nenda kaulize nyanyako....natumai atakupa jibu mwafaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…