Our ex-ambassador is possibly bipolar and a mythomaniac pathological liar

πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜ƒ
Ukiona hadi kingunge la machawa johnthebaptist ana-mdis mtu wa Lumumba , jua huo mtu kiwango chake ni chini sana kuliko Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa .

Huyu jamaa nikajua baada ya hayo masaa yake 48 aliyosema atakuja kumjibu Polepole, ataandika mambo ya maana... Kumbe alikuwa anajifunza jinsi ya kuonesha kuwa kachanganyikiwa lakini bado anao uwezo wa kuvaa nguo zake yeye mwenyewe!!
 
Mtoa mada uko sahihi kabisa, lakini shida ipo kwa hii minyumbu isiyosikia.....hivi tayari imeshakuja mbio kukishambulia; mingine inakwambia eti utoe hoja wakati haijui hata hoja ni kitu gani.
 
sure,
the clueless and confused man in hidden,
is at high voltage of stress and he need all necessary mental health help, otherwise we are going to loose another national workforce
 
Hoja za pole pole zinaletwa kwa kiswahili tena sanifu.

Zinajibiwa na lugha ya kingereza cha Uingereza.

Nini maana yake,mtu ni bipolar kwanini umjibu
 
Wahuni mnatoka mafichoni Sasa. Umejaribu ku sugar coat upumbavu wako kwa kutumia kingereza. Upumbavu ni upumbavu tu.
 
Hivi kuna vigezo gani vya kuwa PLATINUM member hapa JF??Ni kulipia ama ni nini??Huyu jamaa viingereza vingi lkn ni personal attacks tu bila kujibu hoja...
 
Jamaa siyo tu kwamba ana akili, lakini pia ana kipawa cha kuelezea mambo.
Aisee!!
Narudia, hakuna kazi rahisi kama kuwakamata akili nyumbu wa lissu na kula tone tone zao. Polepole ameshapata mwanya wa kujipigia tone tone.......ni suala la muda tu.
 
Kwa nini umeandika Kiingereza?
 
Mpe (muite) mbwa jina baya kisha mnyonge/muue
 
Hujajibu hoja yyte ya polepole unapuyanga na kingereza tu?
Umempima hospital gani?
Angela kuzigha ni nani?
Je kuna cables au hakuna?
Rostam ni fisadi au siyo fisadi ?
Wameshikwa pabaya sana. Hamumuwezi Polepole hata mjtokeze wote. Kijana yuko very smart yule. Na ndio mmejionyesha umbumbumbu wenu.
 
The late Membe ,by the accusations posed to him by Mr.Polepole ,is posed to be a HISTORICAL ENEMY OF THE MAJORITY.
It's obvious ,if such allegations are true,that the late Magufuli's governance was sabotaged and the system took no legal actions against the actors the system barely,unders it's intelligence knew.
Kwako wewe kuwa related na Membe haimaanishi kuwa unaweza kujua mambo ya Siri kama njama za mapinduzi ya serikali ,hasa mabinduzi ya JUNTA....probably hata mke wake hakujua ,ni life risk plan .
WEWE KAA KIMYA TU HUNA LA KUWAJIBU WATANZANIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…