Our first, First Family in Tanzania. May God Bless them

Our first, First Family in Tanzania. May God Bless them

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1620057957573.png
 
Kweli alikuwa mzalendo na jamaa
Angalia tu lifestyle
Angekuwa mwingine hapo ungeona
Makochi kaweka ya mln 20

Ova
 
Huyo mzee aliyekaa hapo alililetea sana shida hili taifa. Yeye ndiye chanzo cha matatizo yote hapa Tz. Sijawahi kumkubali hata kidogo.
 
Jpm huyu huyu mvunja katiba, aliyelewa wezi, mwenye matusi hadharani na madharau kwa mabinti mama na wake zetu ndo unamlinganisha na baba wa taifa au kwakua ni binadaku wote
 
Jpm huyu huyu mvunja katiba, aliyelewa wezi, mwenye matusi hadharani na madharau kwa mabinti mama na wake zetu ndo unamlinganisha na baba wa taifa au kwakua ni binadaku wote
Sio binaDAKU ni binaFTARI mkuu
 
Back
Top Bottom