joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE: Karibuni Tanzania mjionee jinsi kampeni za uchaguzi zinavyofanyika kistaarubu, hata huwezi kujua kama kuna uchaguzi October.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, hahahaha, Sisi sio KDF, tukiamua kuingia Msumbiji ndani ya mwezi mmoja tunamaliza mchezo.
Bwahaha!!jamaa keshaandaliwa huyo[emoji23][emoji23]Hahahaha, hahahaha, Sisi sio KDF, tukiamua kuingia Msumbiji ndani ya mwezi mmoja tunamaliza mchezo.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mbona Alshabab walikua wanaweka picha za wanajeshi wa KDF waliowauwa ktk mitandao, waambieni waweke picha tuone.Bwahaha!!jamaa keshaandaliwa huyo[emoji23][emoji23]
North korea of east africa
Mbona hakutangaza siku ile ile au siku hta ya pili basi...Mbona Alshabab walikua wanaweka picha za wanajeshi wa KDF waliowauwa ktk mitandao, waambieni waweke picha tuone.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mimi ninamuunga mkono Oscar Sudi, Hakuna kuomba msamaha, wewe Je?Mbona hakutangaza siku ile ile au siku hta ya pili basi...
Keshapewa maelezo hyo km vile alivyopewa ummy mwalimu aache kutamgaza corona..
"North korea"[emoji2957]
Km ni jiwe si angelimteka aua wasemaje?Mimi ninamuunga mkono Oscar Sudi, Hakuna kuomba msamaha, wewe Je?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app