Our reaction in church today!

Ahaa wanajua mnunuzi wa roho zao anataka akuze biashara nae
 
Naye ndiyo biashara yake eti, si kwamba anaua watu!
 
Teh teh teh...mimi ningeenda kumwambia akae chini
 
Duh hatari ana roho kama wakuu wa mikoa na rambi rambi.



Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Teh teh teh sasa badala ya wenye biashara wengine wachangamke wao wanashangaa
 
Oh hell no, he didn't!
 
Hahahahaaa naikumbuka ile ya kibaka aliyekua anawakeshesha aliposhinda katika beting milion kumi akaulizwa utazifanyia nn hiz pesa akasema nataka kuboresha shughuli zangu
Siku ya pili watu wrote wakahama mtaan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…