Game Theory
JF-Expert Member
- Sep 5, 2006
- 8,546
- 855
Ninasikiliza documentary on BBC WORLD SERVICE kuhusu BRAND CUBA and its very facinating jinsi hawa jamaa wanavyofanya kazi
Najua wengi wetu wakati wa ukombozi wa nchi za Africa in 1980's tunajua jinsi gani hawa watu walivyo jitoa mhanga maisha yao na nguvu zao kutusaidia lakini for some reason nashangaa siku za karibuni tumeshindwa kuendeleza uhusiano tuliokuwa nao na hawa jamaa since 1980's
I wonder watu waliopo kwenye desk la Latin America kule Foreign wanafanya nini na je Wizara ya afya wanastats kuonyesha hawa jamaa wanatusaidia kwenye sekta zipi? Najua Ulinzi na Usalama tuko nao sana lakini sikuhizi kuna hawa new breed of ossicers ambao wako obsessed with anything to do withAmericans and Brits na najua Geopolitics ndio inawafanya wawehivyo lakini nadhani ni muhimu kuwapa kupaumbelo zaidi nawa waCUBA kama tunavyofanya na Wa China
for sure a friend in need is a friend in deed
btw
FMES hebu nipe update on Ubalozi wetu Brazil..uko wapi, ni nani balozi? na nani mkuu wa kitengo cha Latin America pale MoFa na lini huo ubalozi ulifunguliwa
kwa mnaotaka kusikiliza nilichokuwa nakisikiliza hebu bonyeza hapa:
BBC World Service - Documentaries - Brand Cuba
nawasilisha