Mr. Marangu JF-Expert Member Joined Apr 10, 2013 Posts 1,574 Reaction score 1,549 Sep 7, 2019 #1 Enzi hizo ukikamatwa, Mwl anachukua hicho kibuti ana ki attach kwenye mtihani wako kisha hata kama dk hazijaisha unatolewa nnje Wangapi mpo makazini kwa msaada wa chabo a.k.a kibuti
Enzi hizo ukikamatwa, Mwl anachukua hicho kibuti ana ki attach kwenye mtihani wako kisha hata kama dk hazijaisha unatolewa nnje Wangapi mpo makazini kwa msaada wa chabo a.k.a kibuti