OUT: Foundation course ipoje kwa waliosoma?

OUT: Foundation course ipoje kwa waliosoma?

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
Habari,

Naomba mwenye kujua course ya foundation kiundani anisaidie maana naona juhudi zangu zinafikia mwisho maana nilimaliza chuo mwaka 2016. Ninapotarajia kwenda kujiendeleza, niliomba AVN nikajikuta nina gpa ya 2.9.

Mwenye kuijua foundation course aniambie ili nijue najipangaje,
 
Tembelea ofisi za Open University pale Kinondoni..., mapokezi watakupa muongozo.

Andaa laki sita ya ada (630K)
 
Nipo moshi si vyuo viko tanzania nzima
Fika makao makuu ya Open University Dar es salaam, Kinondoni! Au Tembelea tovuti yao... tovuti maana yake ni "Website" kwa kimombo, maana nyie vijana wa sasa akili zenu mnazijuaga wenyewe.

Chukua namba ya simu zungumza nao waulize.
 
Wasiliana na upen university usome chap ujiunge na degree mwakani
 
Hiyo ni equivalent to advanced level unasoma ndani ya mwaka mmoja ukipata wastani wa B unakuwa admitted kujiunga University Average ya B ni 50 masomo matano masomo ya lazima ni Development studies na communication skills, mengine yanategemeana na unataka bachelor usome ya namna gani kama bachelor ya art utasoma history, geographic na language kama ni science basi pcm au pcb

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom