Outer Ring Road to be completed within two months...

Keep wishing lile ilianguka lenyewe kama nyumba za Nairobi zinavyoanguka kila siku.
Ukitaka kujua wakenya ni wapumbavu ndo hapo wanatetea ujinga wa serikali yao hata kdf yao ikifanya upumbavu wanaitetea
 
Surprised it's still called outering road.knowing kenyans,it will soon be called super major fantastic outering road an be declared as the best in africa.sick nation.
 
Surprised it's still called outering road.knowing kenyans,it will soon be called super major fantastic outering road an be declared as the best in africa.sick nation.

Si ni mali yetu.
 
Hivi Bongo mlikamilisha ile flyover ya Tazara maana nyie hamjambo kwenye kuanzisha na kutelekeza miradi.
Leo tumechoka na wingi wa barabara za juu wakati nyie hamjakamilisha hata moja.
Malizeni barabara hakuna tatizo,tatizo ni pale mnapomaliza watu wasio na hatia (NKAISEEEE
 
Lingekuwa tanzania tayari naona matayarisho ya jiwe kulifungua yangeanza
 
Nimepitia Leo hapo nikapenda sana mahala pana udhi ni enterprise Road wamelegea sana.
 
Dodoma building inner ringroad six lanes more than 100km and we don't talk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…