Outing kwa wanandoa.

Hahaha! Mpwa bana! Mbona amekuwa straight forward? Utakuwa bestman wangu na Carmel atakuwa matron kwenye harusi yetu.

Jamani ananiambia sijiamini kwa penzi lako? mbona nimeweka mambo wazi kabisa? mimi naomba anifafanulie anamaanisha nini.
 
You have said it darling. Say it again and again.
 
Jamani ananiambia sijiamini kwa penzi lako? mbona nimeweka mambo wazi kabisa? mimi naomba anifafanulie anamaanisha nini.
hapa mimi ndo ninapopataka!
ZD,unakunywa bia gani???????????!
MUHUDUMU.........!?leta serengeti kwa mrembo hapa,kaongea point kweli kweliπŸ˜€
 
Bwashee bana. Mchumbangu wala hatumii kileo. Hata mi huwa ananishaurigi sana niachane na serengeti. Ni haka kakiburi kangu tu.
 
bwa-shee unaweza ukawa unajua,si mchumba ako?
na fidel kajuaje?na ameanza yeye kupost kwamba HATUMII MAPEPO1nahitaji ufafanuzi juu ya hiliπŸ˜€
 
Fuatilia post za huko nyuma amewahi weka wazi kuwa hatumii kilevi chochote teh teh teh

naomba linki zake!''........a theory is being established after having gone through a series of experiments..!'' naomba turudi darasaniπŸ˜€
 
Fuatilia post za huko nyuma amewahi weka wazi kuwa hatumii kilevi chochote teh teh teh

Ahaaa! Mi nilistuka ulivosema hatumii mapepo! Kwahiyo kwa ZD bia ni mapepo au hatumii tu kwa kuwa hatumii? Ufafanuzi tafadhali. Moyo unanienda mbio kwa wivu ujue.
 
hata mimi shemeji linaniumiza kichwa!hasa nikikumbuka hali niliyokuwa nayo jana!
 
Kila siku unanikataza kutoa siri za ndani,na wewe umeanza? Fidel80 anataka kukurusha roho tu.Unanijua vizuri kuliko yeyote yule.
 
Afu kinachoniuma zaidi na mchumba naye kasepa! Lol! Mbona wataniua kwa presha hawa watu?
 
Afadhali unaurudishia moyo wangu mapigo yake orijino.
 
Afu kinachoniuma zaidi na mchumba naye kasepa! Lol! Mbona wataniua kwa presha hawa watu?
mchumba yupo bana!shemeji punguza munkari!ZD yupo smart.jina lake tu linazungumza!(hapa ZD lazima atakiangalia kitufe cha senksiπŸ˜€)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…