Outrage As Saudi Arabia Executes Indonesian Maid For Killing Boss While He Was Raping Her

Usihusishe matendo ya watu binafsi na dini. Dini ina misingi yake, si kila analofanya muislam ni uislam. Ni sawa na kusema si kila analofanya mkristo ni ukristo.
 
Usihusishe matendo ya watu binafsi na dini. Dini ina misingi yake, si kila analofanya muislam ni uislam. Ni sawa na kusema si kila analofanya mkristo ni ukristo.

Hahaha hilo unadhani kuna asiyelijua?
Sihusishi dini na mtu, naongelea tatizo ni dini yenyewe inakubaliana na unyanyasaji kwa wanawake, we unadhani Saudi Arabia wanafata kitabu gani kuzuia wanawake hata kusafiri wasisafiri bila ruhusa ya mwanaume? Ukweli uko palepale dini zote ovyo tu mliletewa mkabeba kama zilivyo, waliowaletea wanawacheka tu sasa hivi wanakula maisha. Kama unataka evidence za uislamu kusupport unyanyasaji wa wanawake sema tukuletee mafungu mia kadhaa.

Mtume mwenyewe alikua pedophile analala na watoto wadogo akisingizia kua kawatoa kwenye utumwa, unamtoa mtoto kwenye utumwa kwa kumuoa na kulala naye? Ubakaji huo. Muanzilishi pedo, kitabu kimeandikwa na pedo, kimejaa mambo ya kipedo, biblia nayo ileile tu.
 
Pole
 
It's sad, man.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…