Over 1000 secondary schools in Tanzania have never had a Physics teacher

Taarifa kwa urefu.., Maths and Physics!!

Ummy: Kuna shule wanafunzi hawajawahi kumuona mwalimu wa hesabu, fizikia

THURSDAY JUNE 10 2021​

Summary

  • Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amesema bado kuna upungufu wa walimu wa somo la sayansi katika shule za sekondari nchini Tanzania.

By Mwandishi Wetu
More by this Author

Dar es Salaam. Waziri wa Tamisemi, Ummy Mwalimu amesema bado kuna upungufu wa walimu wa somo la sayansi katika shule za sekondari nchini Tanzania.

Amesema kwa uchambuzi uliofanywa unaonyesha kuna shule takribani 1000 za sekondari ambazo wanafunzi wake hajawahi kukutana uso kwa uso na mwalimu wa somo la Fizikia na kwamba shule takribani 400, wanafunzi hawajawahi kumuona mwalimu wa hesabu akiingia darasani.

Ummy ameyasema hayo leo Alhamisi Juni 10, 2020 alipokuwa akijibu swali la mbunge wa viti maalum (CCM), Hawa Mchafu kuhusu lini walimu wa sayansi watapelekwa katika Mkoa wa Pwani.

β€œTunakiri kuwa na uhaba wa walimu wa sayansi. Kwa uchambuzi uliofanywa ndani ya miezi mitatu unaonyesha takribani shule 1000 za sekondari ambazo wanafunzi wake hajawahi kukutana uso kwa uso na mwalimu wa somo la Fizikia. Shule zipatazo 400 ambazo hazijawahi kuona mwalimu wa hesabu akiingia darasani,” amesema Ummy.

Amebainisha kuwa ipo fursa ya kutumia (Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama) ili kuwawezesha kusoma kupitia mtandao.

β€œHili tumeliona ipo fursa ya kutumia maendeleo ya ICT ili kuwawezesha wanafunzi kusoma kupitia mtandao..., tutaajiri walimu wazuri na kurekodi mada zote kuwawezesha kusoma kwa njia ya mtandao,” amesema Ummy.
 
that shit is not funny. where is the teacher's union? what has the ministry of education been doing? what about the different advocacy groups?

The worst part is that we don't don't yet know how long this mess has been going on!
 
Halafu walimu wa Fizikia na Hesabu wapo tu mitaani hawana ajira. Utasema hakuna fedha za kuwaajiri. Je, fedha alizoiba Kigwangalla tu peke yake zinatosha kuajiri walimu wangapi? Shwaiiiniii [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Jipe shuhuli, mpingiye simu ccm panel beater comredi Humphrey polo polo
 
Halafu walimu wa Fizikia na Hesabu wapo tu mitaani hawana ajira. Utasema hakuna fedha za kuwaajiri. Je, fedha alizoiba Kigwangalla tu peke yake zinatosha kuajiri walimu wangapi? Shwaiiiniii [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
Jipe shuhuli mpingiye simu ccm panel beater comredi Humphrey polo polo
 
Elimu Tanzania ni majanga.....
The best part is that, we know mathematics more than Kenyans.

You can only beat us in English as it's the only language you have heavily invested in.
 
Ndo maan kuna muda watu wanasema hayo masomo n kwa ajil ya watt wanaotoka familia zinazojiweza wanaosoma private schools
 
The best part is that, we know mathematics more than Kenyans.

You can only beat us in English as it's the only language you have heavily invested in.
Eti mnajua hesabu? πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…