ungejua thamani ya hiyo 190 kwa mtu aliyekaa kijiweni na kukosa hata hela ya mlo mmoja usingeleta mifano yako ya mafuta ya gari kwenye nchi kama hii ambayo zaidi ya nusu ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya 1000 tshs,
unajua hizo 190000 ni zaidi ya 6000 kwa siku?acheni kukatisha watu tamaa kama unaona hazikutoshi na huzihitaji kuna watu kibao mtaani na vyeti vyao wanazihitaji hizo,
mnaboa kweli kwa ubwege wenu wa kujiona ukishakuwa na kagari basi unataka kila mtu afanye kazi ya kumuwezesha kununua gari kesho ili aendapo kazini awe na kausafiri kake,