Mpendanchi-2
JF-Expert Member
- Apr 4, 2009
- 304
- 38
bongo kazi zinawenyewe...
Na ndio maana mtu akiingia anaanza kwanza kuwa fisadi-dagaa na baadae mambo yakijipa anakuwa fisadi-papa. Bongo bana, kazi kweli kweli. Inasikitisha, lakini tutafika tu!Bongo kazi kweli kweli jamani, msh 190,000! na hapo hawajaondoa kodi! yaani hata kwa mafuta kwa ajili ya gari la nani hiii... hayatoshi halafu huyu ndio anapewa kama mshahara.........
nice post
but means ambao hatuna vyeti hatuko on the position to apply?
mi nna transcript watani consider?
Bongo kazi kweli kweli jamani, msh 190,000! na hapo hawajaondoa kodi! yaani hata kwa mafuta kwa ajili ya gari la nani hiii... hayatoshi halafu huyu ndio anapewa kama mshahara.........
If you have read careful, wamesema no transcript shall be accepted. ila jaribu bahati, unaweza kuta wamekosa option wakakuchukua.nice post
but means ambao hatuna vyeti hatuko on the position to apply?
mi nna transcript watani consider?
Wala usiwe mkali kaka, kila mtu ana mtazamo wake, na ana uhuru wa kuweka maoni yake. the bottom line is mshahara ni kidogo. full stop. sasa whether una aplly or not , it depends na situation uliyo nayo, hakuna aliyemkataza mtu kuomba kazi na kama hata ukikatazwa au kushauriwa usiombe, una utashi wa kukubali au kukataa ushauri. acheni attacks zisizokuwa na msingi.ungejua thamani ya hiyo 190 kwa mtu aliyekaa kijiweni na kukosa hata hela ya mlo mmoja usingeleta mifano yako ya mafuta ya gari kwenye nchi kama hii ambayo zaidi ya nusu ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya 1000 tshs,
unajua hizo 190000 ni zaidi ya 6000 kwa siku?acheni kukatisha watu tamaa kama unaona hazikutoshi na huzihitaji kuna watu kibao mtaani na vyeti vyao wanazihitaji hizo,
mnaboa kweli kwa ubwege wenu wa kujiona ukishakuwa na kagari basi unataka kila mtu afanye kazi ya kumuwezesha kununua gari kesho ili aendapo kazini awe na kausafiri kake,
Kama ni transcript mkuu omba ila kama ni provisional or statement of results usithubutu.nice post
but means ambao hatuna vyeti hatuko on the position to apply?
mi nna transcript watani consider?
ungejua thamani ya hiyo 190 kwa mtu aliyekaa kijiweni na kukosa hata hela ya mlo mmoja usingeleta mifano yako ya mafuta ya gari kwenye nchi kama hii ambayo zaidi ya nusu ya wananchi wake wanaishi kwa chini ya 1000 tshs,