Over 30 people injured in Mombasa accident

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
ZAIDI YA WATU 30 WAJERUHIWA BAADA YA BASI KUPINDUKA

Basi hilo limepinduka mara kadhaa huko Mombasa nchini Kenya ambapo Watu 6 wamekimbizwa katika hospitali tofauti baada ya kuwa katika hali mbaya

Kamanda wa Polisi wa Changamwe, OCPD Peter Omanwa amesema dereva wa basi hilo lililokuwa linaenda Mombasa likitokea Nairobi alikosa udhibiti wa basi

Omanwa aliongeza kuwa basi hilo linamilikiwa na Kampuni ya Mombasa Raha
=====

More than thirty passengers were injured after a bus they were travelling in overturned several times in a Mombasa accident.

According to Changamwe OCPD Peter Omanwa, the driver of bus which was heading to Mombasa island from Nairobi lost control.

The vehicle overturned causing heavy traffic jam along the busy Port Reitz Road.

He said said six people who were rushed to various hospitals after the Mombasa accident were in critical condition.

Omanwa added that the vehicle belongs to Mombasa Raha bus company.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…