Over 67% of Tanzanians were connected to electricity by 2016

Damn geza. Is it really that big of a deal to mislead readers by editing an article just win some useless internet argument?

Why would you leave out this crucial part in your article?

You really are a low life
 
Acha kulazimishia Tz ishinde Kenya yet we all Know Kenya produces More,Consumes more & is more connected than Tz. How the hell did Tz Jump from 30% to 67% surely![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hii uwivu itafanya mjinyonge
 
Hii concept ya GezaUlole ya kutetea sana taifa la TZ na ya MK254 kutetea taifa la Kenya ni ya ajabu sana....

Inakua kama ugomvi....

Wakuu hizi makitu ni mipaka imewekwa na wanadamu tena wanasiasa.Kwetu ni ajabu zaidi maana mkoloni ndio alikua anapita na panga anakata miti na kuchomeka vijiti na kusema hapa Kongo pale KE pale TZ,etc..

Na concept ya utaifa ni ya kipumbavu sana mwanadamu unapokua confined on stupid geographical boundaries na maneno ya kisiasa na upumbavu mwingine mwingiii sana...

Siasa ina-demand ultimate loyality kwa hicho kitu kinachoitwa taifa....the fun thing is in 1milion years back or to come there will never be something called TZ au KE,there will be some other things!What the fu.ck should I die or kill or insult my fellow human being sababu to ya geographical locations?

Even crazier GezaUlole unawezakua na 90% Kenyan DNA composition na huyo bwana MK254 akawa na TZ DNA...ila because Uhuru kasema chukia TZ basi unachukia wanadamu wenzio...

This is mind boggling stupidity!
 
Wyatt Mathewson are you being serious ulivosema Uhuru kusema wachukie watz? Inafaa ujidhibitishie mwenyewe watz wanavoishi kwa amani Kenya. Alafu ni vigumu sana kusikia viongozi wa Kenya wakiitaja taja Tz.
 
Wyatt Mathewson are you being serious ulivosema Uhuru kusema wachukie watz? Inafaa ujidhibitishie mwenyewe watz wanavoishi kwa amani Kenya. Alafu ni vigumu sana kusikia viongozi wa Kenya wakiitaja taja Tz.

Nimechukulia mfano tu mzee,relaxxxx.....

Unapoambiwa uipende sana KE maana ni kwamba uchukie nchi zingine by the law of opposite!

Mfumo wa siasa na Wanasiasa ni very very selfish...Concepts za nchi/utaifa ni very dangerous kama ilivyo concept ya dini...

The funny thing is miaka mingi iliyopita kulikua hakuna mataifa wala dini na watu waliishi vizuri tu...na miaka mingi sana ijayo tuseme miaka milioni moja ijayo hakutakua na kitu kinaitwa Kenya au TZ..sasa you will wonder wanadamu hawataishi kwa amani?

They will live and prevail!

UTAIFA and DINI are two most tragic human inventions ever happened
 
Nimekuelewa, ila usidhani kwamba tunaipenda nchi yetu kwasababu tumeambiwa na mwanasiasa au mtu yeyote yule. Tunaipenda kwa hiari yetu na hao wanasiasa sanasana ndio wanatuangusha.
 
Nimekuelewa, ila usidhani kwamba tunaipenda nchi yetu kwasababu tumeambiwa na mwanasiasa au mtu yeyote yule. Tunaipenda kwa hiari yetu na hao wanasiasa sanasana ndio wanatuangusha.

You are lying sir....

"Unaipenda" kutokana na many years of brain formating and conditioning from home to school back to the society,kazini....mass media,etc..

Bro unapozaliwa wewe ni mali ya Jamhuri,wazazi wako ni custodians tu hawana jeuri yeyote!

Shule unafundishwa wanachokitaka serikali and not otherwise!

Serikali demands ultimate loyality na kwa lazima wala sio hiyari....usipowapa hiyo loyality uhame nchi au ukafie jela!

Serikali inamiliki kila kitu kukuhusu wewe na uzao wako wote...

Taifa ni kama DINI,unakua conditioned kuipenda,wewe utadhani ni hiyari...Utaweza ua ndugu yako kabisa sababu tu anakaa TZ na wewe upo KE!
 
Acha kelele, soma hapa
 
And here is the profile of contributors all mumbis arguing with the DG of REA
About PesaCheck
One thing I love about my country and government in general is how too secrete it is. Just like China and Russia. Ukitaka kupambana na adui vizuri kuwa msiri. Yajayo yanafurahisha. Viva Magufuli and Tanzania. Umeme kwa sasa tupo more than 70% . Hacha kunyaland ajifurahishe😂😂😂
 
Jpm amekuwa mwanamiujiza kama yesu kristo yani with 1350Mw ameweza kusambazia more than 65% of 60 million Tanzagizans umeme. Kudos JPM
 
Kwani hili jitu litafungua nyuzi ngapi kama hizi? Nimeona uzi mwingine kama huu.
32% we know all facts are truths. No compromise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…