Over 67% of Tanzanians were connected to electricity by 2016


Hehehe Oyaa bro, usiwe unachukulia serious sana mambo ya humu, JF ingekua imezima zamani kama hakungekua na huu ubishani aidha baina ya mataifa au baina ya vyama. Kwa mfano angalia hata mle kwenye jukwaa lenu la siasa, leo hii lina umaarufu maana kuna maoni yanayokinzana baina ya milengo ya vyama, ingekua wote wanamsifia Magufuli, wachache sana wangetembelea hilo jukwaa.

Mimi binafsi ni mzalendo, tena sana kwa nchi yangu, lakini huwa sina chuki yoyote dhidi ya Watanzania, nina marafiki na hata nimefanya biashara sana na Watanzania na pia Waafrika kutoka kwenye nchi tofauti. Kenya kuna marafiki zangu Watanzania ambao wanachakarika na kufanya yao na mimi hupenda sana kuwatembelea tunapiga stori haswa za Bongo, nawakumbushia mambo ya kwao tena kwa Kiswahili cha Kibongo, wanapenda sana.

Hivyo mambo ya humu yasikupe tabu, huu ubishani unachochea watu kusoma na kuelewa kichanoendelea ndani ya nchi zao, maana kwa mfano leo ukihoji masuala ya umeme Kenya, ili nijibu hoja yako inabidi nitafiti kwa undani kuhusu usambazaji wa umeme wetu, kitu ambacho singekifanya kwa kawaida. Yaani kwa kifupi, JF imenisaidia kujua maendeleo ya nchi yangu kwa mapana na marefu, nimetafiti kiundani ili niwe na uwezo wa kujibu hoja zozote dhidi yake.
 
Damn geza. Is it really that big of a deal to mislead readers by editing an article just win some useless internet argument?

Why would you leave out this crucial part in your article?

You really are a low life
View attachment 888663

Hehehe aibu sana, that's why they want to outlaw any release of data about their country, they are slowly becoming like North Korea.
 
BTW what's the difference btn access n having
electricity Mr know much!

It's like charging your phone at neighbours house-you have access to electricity but you don't have it your place .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ