over bleeding after sex

araway

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2007
Posts
534
Reaction score
144
msaada p'se for a friend of mine:
Alikuwa na mimba ikiwa imefikasha miezi 5 alisitisha tendo la ndoa, mwaka umeisha sasa kajifungua, mtoto anamiezi mitatu juzi ameshiriki tendo la ndoa baada ya kumaliza damu zikaanza kumtoka hadi kupelekea kulazwa hospitalini usiku wa jana. Naomba kujua ni tatizo gani hili na linasababishwa na nini?
nawakilisha
 
Pole sana, ni muhimu daktari amwone na amchunguze kuweza kubaini tatizo, kuna maswali ambayo daktari atauliza ili kujua ambayo hapa siwezi kuyauliza kwani mgonjwa yupo hospital let's hope the doctors who see her will do what need to be done kuweza kubaini tatizo
 

Shukrani mkuu ngoja tuone tunafanyaje!
 
Kwa kawaida mwanamke akifikisha miezi sita wakati wa uja uzito hatakiwi kufanya mapenzi. Vile vile baada ya kujifungua mwanamke bado hatoruusiwa kufanya mapenzi kuanzia miezi 6 na kuendelea ili kuruhusu uke wake kurudi katika hali yake ya kawaida na hiyo itategemea na maumbile ya mwanamke husika
 
Poleni sana hiyo hali itapatiwa ufumbuzi usiwe na wasi wasi ili mradi mama mtoto kawai hospitali basi hakuna shaka
 

Mmmmhhhh nina uhakika bios ulipiga F.
 
Reactions: amu

Mkuu miezi sita mingi sana nazani siku 40 baada ya kujifungua zinamtosha na kabla ya kijifungua haikatazwi mahali ku sex hata siku moja kabla ya kujifungua
 
Mmhh hili tango pori.
 
Says who? Kitu kama hukijui bora ujikalie kimya!
 

Mhhhh ......
 

mmmmh
hii chai ya moto sana.....
 

Acha kupotosha mwanamke mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa hadi kufikia miezi 8 ya mwisho ikiwepo kutumia style zao muhimu na kama kajifungua salama kuanzia wiki ya tano hadi 7 anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa kitaalamu
 

pyeeeeee!!!kijana naona leo umeingia chooo cha wazee kama mambo huyajui kaa kimnya na uhakika wewe biology una F+
 
sio kweli
 
Kwa kawaida mwanamke akifikisha miezi sita wakati wa uja uzito hatakiwi kufanya mapenzi. Vile vile baada ya kujifungua mwanamke bado hatoruusiwa kufanya mapenzi kuanzia miezi 6 na kuendelea ili kuruhusu uke wake kurudi katika hali yake ya kawaida na hiyo itategemea na maumbile ya mwanamke husika


Hi Y- Master, give us the reference material! Six month? go back to class
 

***
PUERPERAL PERIOD : Ni kipindi cha kuanzia day 0 hadi day 42 (majuma 6) toka kujifungua. Baada ya kipindi hicho maumbile ya uke hurudi katika hali ya kawaida. Hapo mama kiafya hana tatizo la kumzuia kushiriki tendo la ndoa.
NB: Ila kwa wamama ambao labda walijifungua kwa kufanyiwa upasuaji mkubwa,hushauriwa kutoshiriki ngono kwa miezi 6 toka kujifungua. Lengo hapa ni kutoa nafasi ya kutosha kwa kovu kuunga vyema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…