F fazili JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 16,427 Reaction score 22,418 Sep 13, 2024 #1 Kuna watu wanakosa kazi kwa sababu ya kuwa na sifa kubwa zaidi ya zinazohitajika. Kumbuka ku adjust CV yako iendane na kazi unayoomba. Soma kisa cha Marcial hapa: Despite having an MBA, Marcial Quinones has struggled to find stable work after 1,500 applications. Quinones said his job search may be hindered by AI, lack of recent experience, and overqualification.
Kuna watu wanakosa kazi kwa sababu ya kuwa na sifa kubwa zaidi ya zinazohitajika. Kumbuka ku adjust CV yako iendane na kazi unayoomba. Soma kisa cha Marcial hapa: Despite having an MBA, Marcial Quinones has struggled to find stable work after 1,500 applications. Quinones said his job search may be hindered by AI, lack of recent experience, and overqualification.
Mpetde JF-Expert Member Joined Sep 5, 2022 Posts 3,955 Reaction score 6,546 Sep 13, 2024 #2 Under qualifications je! haina shida Ila over qualifications ndio yenye shida? Yaan unalazimisha umri Mwisho miaka 30 kwani wenye Miaka 35 mpaka 40 hawawezi kufanya kazi?
Under qualifications je! haina shida Ila over qualifications ndio yenye shida? Yaan unalazimisha umri Mwisho miaka 30 kwani wenye Miaka 35 mpaka 40 hawawezi kufanya kazi?