OVERTHINKING: Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy anaweza kuwa ni jasusi wa Russia?

OVERTHINKING: Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskyy anaweza kuwa ni jasusi wa Russia?

SIPENDI SIASA

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2024
Posts
791
Reaction score
1,199
OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR.

Screenshot_20250108-121110_1.jpg

PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi.

KWA UFUPI SANA.
======
The Mitrokhin Commission was an Italian parliamentary commission set up in 2002 to investigate alleged KGB ties of some Italian politicians.

Set up by the Italian Parliament, then led by Silvio Berlusconi's centre-right coalition, the House of Freedoms, and presided by Paolo Guzzanti (senator of Forza Italia), its focus was on alleged KGB ties to opposition figures in Italian politics, basing itself on the Mitrokhin Archive, which was controversial and viewed with scepticism, and various other sources including the consultant Mario Scaramella.

The Mitrokhin Commission alleged, among other things, that Romano Prodi, former centre-left Prime Minister of Italy and President of the European Commission from 1999 to 2004, was the "KGB's man in Italy".

John MacCain pia aliwahi kuhusiswa na connection za idara za usalama za Russia miaka ile ya vita ya Vietnam alipochukuliwa Mateka.

Inasemekana alipewa mafunzo alipokuwa jela (chumba cha peke yake/solitary confinement)

Screenshot_20250108-122709_1.jpg


Kazi za siri zinataka mtu msiri sana..

NB: Overthinking is not good for mental health..

~ SIPENDI SIASA ~
 
Ni ngumu Zele kuwa kgb kwa yale anayoyafanya. Ktk level za ujasusi huwezi kuifanya nchi yako pendwa ishindwe vita au iingie ktk mttzo makubwa. No way. No way.
Soldiers do say that, "War is a necessary evil"

Majasusi wanao uwezo wa kuiingiza nchi vitani kama kuna ulazima wa kufanya hivyo..

NB: Mimi sio jasusi..
 
Ni ngumu Zele kuwa kgb kwa yale anayoyafanya. Ktk level za ujasusi huwezi kuifanya nchi yako pendwa ishindwe vita au iingie ktk mttzo makubwa. No way. No way.
Kama Russia waliweza kupandikiza mtu wao Prodi Romano mpaka kufikia nafasi ya PM wa Italy, thousands of kilometers away, ndio washindwe hapo Ukraine pua na mdomo??..
 
Soldiers do say that, "War is a necessary evil"

Majasusi wanao uwezo wa kuiingiza nchi vitani kama kuna ulazima wa kufanya hivyo..

NB: Mimi sio jasusi..
Yaani aiingize nchi yake ktk vita kama hivi vya Ukraine? Nafkiri wanafanya kazi ya ku evade au kuwin war si hivi unavyo fikiri. Anyway sawa.
 
Back
Top Bottom