naomba tumsaidie dada angu,ana mtoto mmoja wa miaka 11 ni mwaka umepita tangu aanze kutafuta mimba,alienda hospital akasafishwa mirija ya uzaz na kupewa dawa(clomiphene) baada ya kutumia dawa hz haon ute telezi kwenye cku za ovulation.je anaweza kupata mimba katika hal hiyo? anaomba mwenye kujua tiba mbadala ya kuondokana na hal hiyo amjuze.
[/COLOR]
unapokuja na hitaji lako hapa ni kama hospitali, unapohitaji msaada kuna wakati itabidi utoe historia ya tatizo lako kwa mtaalamu ili ajue atakusaidia vipi, sidhani kama utaweza kujibu kila swali analotakiwa kujibu huyo muhusika wa tatizo, au tatizo ni lako unaogopa kusema?