Ovulation day kwa Hedhi isiyoeleweka

goodhearted

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2015
Posts
978
Reaction score
1,237
Ndg madaktari, mke wangu anapata hedhi isiyoeleweka. Mathalani aliingia mp tar 1 may na akaja kuingia tena tar 11 june takriban siku 40 hizo, au wakati mwingine siku 30, 35 zaid au chini ya hapo. Huo ni mfano mmoja tu lakini kimsing hedhi yake haina specific days kiasi nashindwa namna ya kupanga uzazi kwa kalenda. Je ni tatizo au vipi!? na ovulation day hapo itakuwaje.? Msaada tafadhari!!
 
mimi mmoja wapo, nmekua hivo miaka hata mi2 lakini this year imejirekebisha baada ya kutibu uti sugu.
napishanisha siku moja/mbili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…