Bakulutu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2011 Posts 2,557 Reaction score 1,787 Jan 16, 2017 #1 Habar wakuu, katika pitapita zangu leo nimesikia watu wakizunguazia kipimo kinaitwa Ovulation Test, kwa vile siwajui na sikuwa na muda nikaona nilite hapa wataalamu wanieleweshe kinafanya kazi vipi, na majibu yake yana ukweli kiasi gani.
Habar wakuu, katika pitapita zangu leo nimesikia watu wakizunguazia kipimo kinaitwa Ovulation Test, kwa vile siwajui na sikuwa na muda nikaona nilite hapa wataalamu wanieleweshe kinafanya kazi vipi, na majibu yake yana ukweli kiasi gani.