Owning an ATM

my dear sio kujiletea majambazi nyumbani kwako?😕
 

nimewatumia email na hivi ndivyo walivyonijibu Dear ******,

Thank you for requesting information about our ATM Franchise business.

We are approved to franchise our business only in the US at this time. We expect to be international in 12 to 24 months. Your request will be kept in our database until the appropriate time.

We appreciate your interest in our ATM Franchise business and look forward to discussing this opportunity with you in the future.

Sincerely,


Franchise Department
ACFN - American Consumer Financial Network
Phone (888) 794-ACFN (2236)
International (408) 351-5100
Fax (888) 708-8600
International (408) 351-5155
 
Thank you very much, we haave to follow up sheria, na policy za bot.
 

thanx for your efforts
 
Thank you very much, we haave to follow up sheria, na policy za bot.

Sheria na policy za BOT pembeni, kama ikiwa rukhsa utakuta vigogo washahodhi biashara nzima. Wewe mwenye uwezo wa ku-invest kwenye ki-ATM kimoja au viwili utakuwa huna dili.
 

Kwa hiyo kama franchisee mwenye ATM tatu hadi leo umepata faida gani na hasara gani kutokana na hii biashara?

Weka wazi vitu vya msingi kama hivyo, siyo unajigamba tu kuwa una ATM tatu huku husemi lolote kuhusu potential risks and benefits za investment kwenye biashara husika.
 
Kwa wa umoja switch mteja anakatwa sh 550/= kama transaction cost hoyo inagawanywa kwa benki yenye atm, benki ya mteja akaunti holder, na umoja na infosence unakuta mwenye atm anapata 100/= kwa kila transaction

duh! we tabu kuishi una mambo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…