OXFORD WANAVYOUA ELIMU O-LEVEL tz

OXFORD WANAVYOUA ELIMU O-LEVEL tz

Surgical Blade

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
349
Reaction score
16
kwa jinsi #OXFORD wanavyozdi kutawala Soko la Vitabu,
O-level Wanazid kuumia hasa #KATA , kama ifuatavyo
1. vitabu vya O-level kutengenezwa na #wazungu , yaani wao wamekuwa wakifananisha usomaji wa watoto wao na watoto wetu, Jaman michoro #Illustration imekuwa ikipigwa Picha Na kufanyiwa scanning,
michoro imekuwa katika mfumo Wa 3D, ambayo mtoto akiambiwa achore, kufanya imagenation inakuwa kaz, mana kwenye kitabu mchoro ulipigwa picha kwamba, huu ni mchoro wa moyo, (umechorwa marang kibao na midamu damu)
wakat 2kitumia mfumo we2 ule wa vitabu vya TAI, picha ni 2D Katika #Black and White, #TAI wameenda wapi.
2. Vitabu kujazwa ma practical activities, yasiyo na maana kama shule zakata, wana laboratory za kucheza cheza, wakati watoto, practicals wanafanya form four, ili wasisahau.
3. Vitabu kujazwa mi, maswali ambayo, mwanafunzi peke yake hawez, kujipma, yaan majibu, yanakwepo ktk vitabu vya kufundishia walimu,
hal ambayo humpa tabu mwanafunz kama mwalm wa somo hlo hayupo, au kutokuwa na maelewano mazuri baina yake na mwalimu.

MAONI YANGU,
1. Viwepo vitabu vijulikanavyo kutumika, na shule zote Tanzania.
2. Syllabus zilizotolewa kwenye mfumo na zilzopo Zijulikane kwa wanafunz, sio wanafunz wajitese kusoma, vitu visivyokuwepo.

Maoni tu kwa BIG RESULTS

sijui uonavyo wewe?
 
Badilisha mindset yako....tz ya leo sio ya mwaka 47,kila zama na vitabu vyake.
 
Badilisha mindset yako....tz ya leo sio ya mwaka 47,kila zama na vitabu vyake.

Umeona anavyotangaza upuuz eh?!
Sijui hata kama watoto wote tanzania wanasoma vitabu vya oxford!!?

Naanza kuona dalili za kusingizia uduni wa elimu yetu kwenye vitabu vya oxford!!?

Kama wanavyosema kuwa masomo yote yakifundishwa kwa kiswahili yataeleweka zaid bila kufikiria kuwa kama ni rahisi kias hicho tungeona tofauti kwenye ufaulu wa somo la kiswahili pia?! Au atasema wanaofeli kiswahili wanasoma english medium ndio maana wanafeli?!

Bado hatujagusa mzizi wa tatizo tunaweweseka tu! Kufeli ndio kwanza kumeanza! Na elimu kuuawa ndio wanamalizia sasa ili tuje kuona matokeo baadae!!
 
Hebu nenda shule kaone,
vitabu serikali inavyotoa msaada shulen kama ni vya #NYAMBARI ,
Fikiria mara mbili,
#EMAC wamepewa msaada, mavitabu kibao na #USAID , ambayo n ya OXFORD, na ndo yaliyojaa shulen,
MAVITABU yote yana wafaa watoto wa kizungu, hayana Mantik Kabisa Kwa #KAYUMBA !
 
Inategemea masomo yapi mkuu oxford hawajathubutu kujitosa kwenye commerce na book keeping na engineering science na masomo mengine wanayo yaogopa na vitabu vya advance maana uwezo mdogo
 
Inategemea masomo yapi mkuu oxford hawajathubutu kujitosa kwenye commerce na book keeping na engineering science na masomo mengine wanayo yaogopa na vitabu vya advance maana uwezo mdogo

kaka kiujumla thread, nimebase kwa hawa shule za kata, ambao masomo tisa hayo masomo, mengne private ndo wanasoma sana, ambapo utakuta weng hawatumii vtabu vya Tanzania na ma oxford,
We hujaona shule wanatumia vitabu vya #Kenya shule nyngne Ndo had #Syllabus , watoto wa mtanzania huyu wachn ndo wanao umia, hawa wengne wanajua wana handle vp.
 
maisha ya shule inabidi uhangaike si lele mama ,kaka jipange

"KAMA SHULE TABU,BASI JALIBU KUWA FUNDI VIATU"😎
 
List someone noticed this

Vitabu vya Oxford ni upuuzi mtupu

Kipindi Nipo olevel nlikua Hata kwa fimbo sivitumii

nyambari nyangine books are waaaaay better japo watu wanavidharau eti vipo shallow which is NT true
Vitabu vya Abort Lambert na vile vya Zanzibar ndo vizur kutumia
 
Last edited by a moderator:
Tatizo walimu mmekuwa wanasiasa halafu mnachonga sana kama chiriku....kila kona unayopita utasikia BRN ukiwauliza inamaanisha nini ....hakuna la maana utakalopata.
 
Back
Top Bottom